Habari za Punde

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa.

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa wakiwa kwenye Kikao cha kawaida na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kilichofanyika ukumbi wa Makamu wa Pili Vuga Mjini Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Mh. Panya Aliu Abdulla Mwakilishi   nafasi za Wanawake wa Pili kutoka kulia akikiongoza Kikao hicho cha kawaida cha kujitayarisha na Baraza la Wawakilishi linalotarajiwa kuanza Tarehe 28 Novemba 2018.Kulia ya Mh. Panya ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mihayo Juma N’hunga na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Nd. Abdulaah Hassan Mitawi.
Makamu Mwenyekiti Mh. Panya akijadiliana jambo na Mjumbe wa Kamati hiyo Mh. Ali Suleiman Shihata.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.