Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman Akihudhuria Mkutano wa Majaji Wakuu wa Dunia Unaofanyika Nchini India.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, akiongoza kikoa hicho wakati wa mkutano wa majaji wakuu wa dunia unaofanyika nchini india. 


Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akizungumza na Jaji Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe Othman Chande na katikati Balozi wa Tanzania Balozi Baraka Luvanda, wakizungumza wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Dunia,unaofanyika Nchini India. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.