Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Awapongeza Walimu na Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ruangwa, Kwa Kufanya Vizuri Katika Mitihani ya Darasa la Saba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary  (kulia) wakimpongeza Mwanafunzi Halfani Abdallah Ngonde aliyemaliza Elimu ya Msingi katika Shule  ya Nanjaru wilayani Ruangwa na  ambaye aliibuka kuwa mwanafunzi bora wa Mkoa wa Lindi katika Matokeao ya Mtihani wa Darasa la Saba kwa mwaka huu.  Waziri Mkuu alikuwa katika mkutano wa kuwapongeza walimu wa  na baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi za wilaya ya Ruangwa ambayo  imefanya vizuri na kuwa ya kwanza  katika mkoa wa Lindi. Mkutano huo ulifanyika  kwenye ukumbi wa Narung'ombe katika Halmashauri ya Ruangwa, Novemba 18, 2018.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.