Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI WA UNESCO KANDA YA AFRIKA PAMOJA NA MWAKILISHI WA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann Therese NDONG-JATTA pamoja na Mwakilishi Mpya wa UNESCO nchini Tanzania Bw. Tirsa A.S Dos Santos ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann Therese NDONG-JATTA ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann Therese NDONG-JATTA (kushoto) na Mwakilishi Mpya wa UNESCO nchini Tanzania Bw. Tirsa A.S Dos Santos (kulia) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.