Habari za Punde

Maofisa wa ZAECA,DPP, Polisi na Ofisi ya Mkemia Mkuu Wapata Elimu ya Kuhifadhi Vidhibiti.

Afisa Mdhamini Ofisi ya Mkamu wa Pili wa Rais, Ali Salum Mata, akifungua kikao cha kujadili changamoto za matumizi ya madawa ya kulevya na nini kifanyike, kilichowashirikisha maafisa kutoka ZAECA, DPP, POLISI na Mkemia, kilichofanyika Chake Chake Pemba
Afisa Mdhamini Ofisi ya Mkamu wa Pili wa Rais, Ali Salum Mata, akifungua kikao cha kujadili changamoto za matumizi ya madawa ya kulevya na nini kifanyike, kilichowashirikisha maafisa kutoka ZAECA, DPP, POLISI na Mkemia, kilichofanyika Chake Chake Pemba.
WAKILI  wa Serikali na Mwendesha mashata kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mshata Pemba, Seif Mohamed Khamis akitoa taarifa ya kesi za madawa ya kulevya kwa mwaka huu na mwaka 2017, katika kikao cha kujadili changamoto za matumizi ya madawa ya kulevya na nini kifanyike, kilichowashirikisha maafisa kutoka ZAECA, DPP, POLISI na Mkemia, kilichofanyika Chake Chake Pemba,.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.