Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akiendelea na Ziara yake Wilaya ya Moshi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wakulima wa mpunga alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mpunga uliovunwa tayari wa Bw. Emmanuel Paschal(kushoto) wakati alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wakulima wa mpunga alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo.
Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Polisi Uru Kusini.Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro katika ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za Maendeleo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Uru Kusini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Uru.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia aina mbali mbali za kahawa wakati wa maandalizi ya kujaribiwa kwenye maabara ya shamba ya Kahawa la Kilimanjaro Plantation Ltd. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.