Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, akimsikiliza sheha wa shehia ya Mlindo Mariyam, juu ya mafanikio ya Walengwa mmoja mmoja wa Kaya masikini waliyopata, wa kwanza kulia ni mlengwa wa kaya masikini shehia hiyo ambaye fedha za malipo ameweza kununulia vifaa vya kiwanda chake cha uchongaji
MRATIBU wa Idara ya watu wenye ulemavu Pemba Mashavu Juma Mbarouk, akiwatoa maelezo juu ya Matumizi ya Mchele maalumu, uliotolewa kwa watu wenye ulemavu Kisiwani Pemba.
MRATIBU wa Idara ya watu wenye ulemavu Pemba Mashavu Juma Mbarouk, akiwatoa maelezo juu ya Matumizi ya Mchele maalumu, uliotolewa kwa watu wenye ulemavu Kisiwani Pemba.
JAJI wa Mahakama kuu Zanzibar Aziza Iddi Suwedi, akimkabidhi cheti cha uhitimu wa mafunzo ya wiki moja juu ya shehiria za kazi, mfanyakazi kutoka Taasisi ya ZBS Pemba Hamadi Chande mafunzo yaliyotolewa na Kituo cha mafunzo na Utafiti Zanzibar na kufanyika katika ukumbi wa DPP Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.