Habari za Punde

Mwakilishi Mteule wa Jimbo la Jang'ombe Aapisha Leo Katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.


Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mwakilishi Mteule wa Jimbo la Jang'ombe Zanzibar Mhe. Ramadhan Hamza Chande katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, Mkutano wa Baraza la Wawakilishi umeaaza leo. 
Mwakilishi Mteule wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe. Ramadhan Hamza Chande akiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid, hafla hiyo imefanyika leo wakati wa Mkutano wa Baraza ulioaza leo Chukwani.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akimkabidhi dhana za kazi Mwakilishi Mpya wa Jimbo la Jang'ombe Zanzibar,Mhe. Ramadhan Hamza Chande, baada ya kuibuka mshindi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo, na kuapisha leo wakati wa Mkutano wa Kawaida wa Baraza ulioaza leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.