Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Mhe.Mihayo Awatembelea na Kuwafariji Familia Zilizopata Ajali ya Moto Shehia ya Kianga Unguja.

 Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Mhe Mihayo akiwafariji Wananchi waliopata ajali ya kuunguliwa na Moto Nyumba yao katika maeneo ya Kianga Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Waliopata janga la Moto juzi usiku katika  Shehia ya Kianga na kutizama namna walivyoathirika kwa kupoteza kila kitu kilichokuwemo ndani..
Tumeanza kuwasaidia Magodoro ya kuanzia na hakiba ya fedha na Chakula kwa walioathirika na Janga la Moto.
Afisa wa Kamisheni ya Maafa Zanzibar akizungumza na Wananchi wa Shehia Kianga waliopata janga la moto juzi usiku kwa kuunguliwa kwa mali zao zote wakati wa moto huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.