Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi Mpya wa Palestine Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa Palestine Nchini Tanzania Mhe. Hamdi M.H.Abuali, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo tarehe 16/11/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi Mpya wa Palestine Nchini Tanzania Mhe. Hamdi H.M.Abuali, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Palestine Nchini Tanzania,Mr. Hamdi H.M.Abauli, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mpya wa Palestine Nchini Tanzania Mhe. Hamdi M.H.Abuali, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Ussi Gavu na Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Palestine Nchini Tanzania Mr. Hamdi H.M.Abuali, kushoto Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Balozi Mohamed Ramia na kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi Mpya wa Palestine Nchini Tanzania Mr. Hamdi.H.M.Abuali, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo.16/11/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.