Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar, akifungua Mkutano wa Baraza hilo leo Ikulu Zanzibar,wakati wa kuwasilisha Mada mbalimbali kuhusiana na maendeleo ya kukuza Biashara Zanzibar. 

Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Baraza hilo akifungua mkutano huo wa Pili wa Baraza hilo, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Pili cha Baraza la Biashara Zanzibar katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Wakwanza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Said Hassan akiwa na baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakifuatilia Mkutano huo wa Pili wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo,wakati akifungua mkutano huo leo Ikulu Zanzibar. 
Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Mkutano huo wa Baraza la Pili la Taifa la Biashara Zanzibar.  
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiasha wa Wenye Viwanda na Kilimo Zanzibar Ndg Tofiq Salim Turky akichangia Mada zilizowasilishwa katika Mkutano wa Pili wa Taifa wa Baraza la Biashara Zanzibar, uliofanyika Ikulu Zanzibar leo. 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZATI Zanzibar Ndg.Seif Masoud Miskry akichangia Mada zilizowasilishwa katika Mkutano wa Pili wa Taifa wa Baraza la Biashara Zanzibar, uliofanyika Ikulu Zanzibar leo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima wa Karafuu Zanzibar Ndg.Kassim Khamis Rashid, akichangia Mada, wakati wa Mkutano huo wa Taifa wa Baraza la Zanzibar, uliofanyika Ikulu Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akichangia Mada wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Zanzibar leo. 
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Biashara  Zanzibar Bi. Asha Aboud akichangia wakati wa mkutano huo wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar lililofanyika leo Ikulu Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, hayuko pichani.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Biashara  Zanzibar Bi.Cheherazade Cheikh,akichangia wakati wa mkutano huo wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar lililofanyika leo Ikulu Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, hayuko pichani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar akifuatilia michango ikiwakilishwa wakati wa mkutano huo wa Pili wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.