Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumzia Maandalizi ya Ununuzi wa Korosho.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, baadhi ya watendaji wa Serikali na Wakurugenzi wa mabenki na CBT jijini Dodoma Novemba 10.2018, kujadili maandalizi ya ununuzi wa korosho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.