Habari za Punde

Wenye ulemavu Pemba wapatiwa misaada

 AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba Ali Salim Matta, akimkabidhi baskeli maalumu kwa wajili ya mtu mwenye ulemavu, mjumbe wa mkutano mkuu wa jumuiya kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa akili Pemba (ZAPDD) Mkubwa Ahmed Omar hafla iliyofanyika katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba Ali Salim Matta, akimkabidhi  Chakula maalumu mmoja ya wanafunzi wenye ulemavu, hafla iliyofanyika katika ofisi ya Makamu wa Pili Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.