Habari za Punde

Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akifanya mzaha na Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi alipofika Nyumbani Kwake Jijini Dar es salaam kumjulia hali.
 Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Kushoto akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Nyumbani Kwake Jijini Dar es salaam kumjulia hali.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.