Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali

MKURUGENZI wa Jumuiya ya Ustawishaji wa Zao la Karafuu na Viungo Pemba (JUKAVIPE) Hassan Ali Bakari akifungua mkutano wa Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachan.
MJUMBE wa Bodi ya JUKAVIPE  Khatiba Juma Mjaja, akizungumza wakati wa kikao cha Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachani
MJUKMBE wa Bodi ya JUKAVIPE Said Mohamed Ali mwenyekofia, akichangia katika kikao cha Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachani.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.