Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (kulia) akipewa maelezo kutoka kwa Mkuu wa
Hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo, Ignas Gara (katikati) mara baada ya kuwasili
katika hifadhi ya kisiwa hicho ambapo
ambapo aliweza kuzungumza na watumishi wa Hifadhi hiyo iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Kushoto
ni Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (katikati) akipewa maelezo kutoka kwa Meneja
wa Hoteli ya Asilia, Adam Juma (wa pili kulia) akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi
hiyo, John Gara (wa pili kushoto) wakati alipofanya ziara katika hifadhi ya
Taifa ya
kisiwa cha Rubondo ambapo
aliweza kutembelea hoteli hiyo iliyopo
ndani ya Hifadhi hiyo iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Kulia ni
Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya na kulia ni Adrian William
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John
Gara (kulia) wakiangalia baadhi ya picha kwenye simu ya Sokwe wakati Naibu
Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa ya
kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu
Ng’ondya.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (katikati) akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi
hiyo, John Gara (kulia) wakiwa kwenye boti wakivuka wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara
katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa
Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu Ng’ondya
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akisalimiana na baadhi ya watumishi wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara
katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akisaini kitabu cha wageni wakati Naibu Waziri
huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa
ya kisiwa cha Rubondo.
Baadhi ya sehemu za kupumzika
katika hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.
(Picha na Lusungu Helela -WMU)
No comments:
Post a Comment