Habari za Punde

Mtambo wa Kuhifadhia Samaki na Matunda Kufungwa Wilaya ya Micheweni Pemba.

Mtambo wa kuhifadhia barafu katika soko la Samaki na Matunda Tumbe Wilaya ya Micheweni ukiwa umeshaingizwa ndani ya soko hilo, ukisubiri kuuganishwa na umeme kwa ajili ya kutoa barafu hilo.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.