Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea funguo kutoka kwa Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta mara baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani
Namanga One Stop Border Post (OSBP)
upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi funguo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara
baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa
Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo
cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na watoto wawili kutoka
Kenya waliofika kumpokea katika kituo cha kutoa huduma kwa pamoja kwa upande wa
Kenya.
Baadhi ya Wananchi wa Kenya na
Tanzania waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa Vituo hivyo Mpakani Namanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakielekea upande wa mpaka wa Tanzania mara
baada ya ufunguzi wa kituo cha kutoa huduma kwa pamoja kwa upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakielekea
kupanda gari moja kutoka Arusha mjini kuelekea Namanga mpakani mwa Tanzania na
Kenya. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment