Habari za Punde

Kutoka Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi (katikati) na Fatma Toufiq kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Longido Dkt. Stephen Kiruswa, nje ya jengo la utawata Bungeni jijjini Dodoma  Januari 28, 2019
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.