Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi Aifariji na Kutoa Mkono wa Pole Kwa Familia ya Marehemu Bi. Johari Yussuf Leo.

Balozi Seif akiifariji na kuipa pole Familia ya Mwanasiasa Mkongwe Visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla Marehemu Bibi Johari Yussuf Akida aliyefariki wili iliyopita hapo Nyumbani pao Mpendae Mjini Zanzibar.
Balozi Seif akiagana na Familia ya Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Bibi Johari Yussuf Akida ikiongozwa na Mtoto wake Bibi Shawana Bukheit Hassan.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.