Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Magufuli Awaapisha Majaji 6 wa Mahakama ya Rufaa na Majaji 15 wa Mahakama Kuu Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Winnie Korosso Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sahel Barke Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Lugano Samson Mwandambo Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Mary Levira Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Ignus Paul Kitusi Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema Kerefu Sameji Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. John Rugalema Kahyoza Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Susan Bernard Mkapa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Fahamu Hamidu Mtulya Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Cyprian Phocas Mkeha Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Willbard Richard Mashauri Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Dunstan Beda Ndunguru Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Seif Mwinshehe Kulita bKuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Upendo Elly Madeha Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Yohane Bokobora Masara Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Mustapha Kambona Ismail Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.