Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya Utambulisho
kutoka kwa Balozi mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe.
Antonio Augusto Martin Cesar. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe.
Antonio Augusto Martin Cesar mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho. Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Shirikisho la Jamhuri
ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto
Martin Cesar akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za
utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Shirikisho
la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto
Martin Cesar mara
baada ya kupokea Hati zake za utambulisho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi
Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa
nchini Mhe.
Cho Tae-ick .Ikulu
jijini Dar es Salaam.Januari 16, 2019.
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha
hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambuliso Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick mara
baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe.
Cho Tae-ick
mara baada ya kupokea Hati zake za Utambuliso Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho
kutoka kwa Balozi mteule wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad
Chembe Munthali Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Malawi hapa
nchini Mhe.
Glad Chembe Munthali akiandika
katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad
Chembe Munthali mara baada ya kupokea Hati zake za
utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad
Chembe Munthali mara baada ya kupokea Hati zake za
utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 16,2019.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment