Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba kwa Ajili ya Kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar Kitaifa Yanayanyika Uwanja wa Gombani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba, kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar Kitaifa yanafanyika katika Uwanja wa Gombani Chakechake Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania, baada kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yatakayofanyika Uwanja wa Gombani Pemba kesho,12/1/2019. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akingozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, wakiongea wakielekea katika ukumbi wa mapumziko wa VIP uwanjani hapo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wa Vyama vya Siasa waliofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba baada ya kuwasili akitokea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilioko Kisiwani Pemba baada kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.