Habari za Punde

Wanabodi Mamlaka ya Maji ziarani Pemba

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk, Zakia Mohammed Abuubakar, akipatiwa maelezo juu ya Kisima cha Maji Safi na Salama kilichoko Kinyasini Pemba kutoka kwa Mkurugenzi wa
Mamlaka hiyo, Omar Bakar Mshindo, wakati Bodi hiyo ilipofanya ziara Kisiwani humo.

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dk, Zakia Mohammed Abuubakar,wakiangalia mashine ya mradi wa maji safi na Salama katika kijiji cha Kengeja Pemba.

PICHA NA HANIFA SALIM-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.