Habari za Punde

Boti Iiliyotengenezwa Kwa Kutumia Plastiki Yawasili Zanzibar Katika Zoezo ya Usafi wa Mazingira Ufukwe wa Forodhani Zanzibar.

Boti ya Beach Clianup iliotengenezwa kwa Plastiki iliowasili Zanzibar ikitokea Nchini Kenya ambayo imebeba Ujumbe wa Kuhifadhi mazingira ikiwa katika Bandari ya Malindi mjini Zanzibar.
Rais wa Baraza la Mazingira Duniani Siim Kiisler akitoa hotuba kuhusiana na Mazingira katika hafla iliofanyika Bustani ya Forodhani ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akitoa hotuba kuhusiana na kuhifadhi mazingira mara baada ya  kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas akizungumza na Wananchi na Vikundi mbalimbali vilivyoshiriki Usafi wa Mazingira katika ufukwe wa Bahari ya Forodhani katika hafla ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas katikati akiwapamoja na viongozi mbalimbali wakifanya usafi wa mazingira kuondosha Chupa na Mifuko ya Plastiki na uchafu mwengine katika ufukwe wa Bahari ya Forodhani katika hafla ya kuipokea Boti iliotengenezwa kwa Plastiki iliobeba ujumbe wa kuhifadhi mazingira iliowasili Zanzibar ikitokea nchini Kenya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.