Habari za Punde

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama , wakifuatilia mijadala inayo endelea Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Shinyanga.Azza Hamad , Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mwenye suti nyeusi, akisalimiana na Mbunge wa kuteuliwa, Abdalah Bulembo. kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.