Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Yaadhimishwa Kitaifa Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza matembezi ya kuadhimisha Wiki ya Sheria, jijjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifanya mazoezi ya viungo nje ya viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma  Februari 2, 2019, baada matembezi ya kuadhimisha Wiki ya Sheria, kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson, Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Juma, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mifumo ya kisasa ya Mahakama Mtandao wakati alipokagua mabanda katika kuadhimisha Wiki ya Sheria, iliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma  Februari 2, 2019 kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Tehama Kalege Anock, Athumani Kanyegezi na Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Juma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akioneshwa picha na Meneja wa Maabara ya Sayansi Jinai na Huduma za Vinasaba hadija Mwema, wakati alipotembelea banda la Mkemia Mkuu wa Serikali katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria, iliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma  
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Fatma Karume, wakati alipotembelea mabanda katika Wiki ya Sheria, iliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu na Mtendaji Mkuu RITA, wakati alipotembelea banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini RITA, katika Wiki ya Sheria, iliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma  Februari 2, 2019, kutoka kushoto niNaibu Spika wa Bunge Tulia Ackson, Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Juma na Afisa Usajili Msaidizi RITA Joseph Mwakatobe.
Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Juma, akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria, iliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi waliyohudhuria katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria, iliyofanyika kwenye viwanja vya Nyerere Square jijjini Dodoma  Februari 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.