Habari za Punde

Maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete leo.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu kulia Jaji wa Mahakamu Kuu Zanzibar Mhe. Abdulhakim Issa Ameir na kushoto Jaji wa Mahakamu Kuu Zanzibar Mhe. Abraham Mwampashi, wakiwa katika maandamano maalum ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar, wakipita katika mitaa ya Wete Pemba wakielekea katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.