Wasanii wa Kikundi cha Kachara Kisiwani Pemba wakiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi huo.
Wasanii wa Kikundi cha Kachara wakionesha burudani ya Igizo la Ukiukwaji wa Sheria unaofanywa na baadhi ya Wananchi, igizi hilo walilionesha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
No comments:
Post a Comment