Habari za Punde

MKUTANO WA 11 WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
Mwakilishi Mkaazi wa WHO anayefanyia kazi zake Zanzibar Dkt,Ghirmany Andermichael akizungumza katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya  Afya Asha Ali Abdalla akitoahotuba yake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Afya waliohudhuria katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mtaalamu wa masuala ya Afya ya Uzazi kutoka shirika la UNFPA Zanzibar Batula Abdi akitoa mchango wake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud katikati akiwa na Naibu Waziri Wizara ya Afya Harusi Saidi Suleiman(kushoto yake)na Viongozi mbalimbali katika Picha ya pamoja katika hafla ya Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.