Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwafariji wanawake waliolazwa kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali  ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke wakati alipotembelea hospitali hiyo, Februari 27, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwafariji wanawake waliolazwa kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali  ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke wakati alipotembelea hospitali hiyo,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakuu wa Idara za Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke wakati alipotembelea hospitali hiyo, Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.