Habari za Punde

PBZ yatiliana Saini na TTCL


Naibu Mkurugenzi mtendaji wa benk ya watu wa Zanzibar (PBZ) Khadija Shamte Mzee akitiliana saini na mwakilishi wa shirila la simu Tanzania TTCL Alphones Mozes  mashirikiano katika uendeshwaji wa huduma za kifedha kupitia simu ya mkononi,makubaliano hayo yametiwa saini leo katika ukumbi wa makao makuu ya benk hio ilipo Mpirani mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.