Habari za Punde

Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi kuanza kesho tarehe 06/02/19

 Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem(katikati)akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,kulia yake ni Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu Baraza la Wawakilishi Amour Mohammed Amour na kushoto ni Mshauri wa Sheria wa Baraza la Wawakilishi na Mkuu wa Shughuli za Baraza.
 Mwandishi wa Habari wa Bomba FM Mwinyi Sadala akiuliza maswali katika Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa  Msellem   na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

 Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria katika  katika Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya  Issa Msellem  kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.