Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kuhudhuria hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea saluti ya Gwaride Maalum la Ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

Gwaride Rasmin la Kikosi cha FFU wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki lililofunguliwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mhe Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika viwanja vya Baraza Chukwani kuhudhuria hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki litakalofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Baraza Chukwani. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wabunge na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wafanyakazi wa Bunge la Afrika Mashariki alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga, wakielekea katika ukumbi wa kwa ajili ya hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.