Habari za Punde

Kutoka Viwanja Vya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Wabunge Wa Bunge La Afrika Mashari Wakiwasili Kuhudhuria Mkutano Wa Bunge.llinalofanyika Ukumbi wa Baraza Chukwani Zanzibar.

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwasilim katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Bunge hilo litakalofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwasili katika Viwanja vya Baraza la Wakilishi kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Bunge hilo.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwasili katika viwanja vya Baraza la Chukwani kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.