Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki Zanzibar Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani.

Rais wa Zanzibaer na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika gwaride na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga , wakiingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki kwa ajili ya kulifungua Bunge hilo linalokutana Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mhe.Zuberi Ali Maulid, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Spika Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Pandu Ameir Kificho wakiwa wamesimama wakati ukipigwac Wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya Ufunguzu wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Spika Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Pandu Ameir Kificho wakiwa wamesimama wakati ukipigwac Wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya Ufunguzu wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa ufunguzi wa mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Bunge la Afrika Mashariki katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, akifungua Mkutano wa Bunge hilo utakaofanyika Zanzibar katika ukumbi huo.  
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakimsikila Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein,akihutubia na kuufungua Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki katika ukukmbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Said Hassan Said akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein,akihutubia.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakimsikila Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein,akihutubia na kuufungua Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki katika ukukmbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , wakimsikila Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki katika ukukmbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.