Habari za Punde

Uzinduzi wa Kituo Cha Afya Kijiji Cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba.

Jengo Jipya la Kituo Cha Afya Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba kilichozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo Kisiwani Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Dr. Mohammed Faki Saleh, akitowa maelezo kabla ya kuzinduliwa kwa Kituo hicho, uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,Mama Mwanamwema Shein, wakiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya Ngomeni Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake.akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein na kushoto Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Makaazi Mhe. Salama Aboud Talib Daktari Dhamana wa Wilaya ya Mkoani Dr. Mohammed Faki Saleh, wakipika makofi baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Afya Ngomeni Kisiwani Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, wakitembelea Kituo cha Afya Ngomeni baada ya kukifungua kuaza kutowa huduma kwa Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni na Vijiji jirani.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.