Habari za Punde

Vikundi vya Wanaushirika 13 Wilaya ya Mkoani Pemba Wakabidhiwa Fedha.


MWENYEKITI wa CCM  Wilaya ya Mkoani Ali Juma Nassor akimkabidhi mmoja wa wanavikundi vya Tasaf shehia ya Kangani shilingi Laki Moja (100,000/=), ikiwa ni ahadi  ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi, kwa wanavikundi vya Tasaf shehia hiyo.
MRATIBU wa TASAF Pemba Mussa Said akizungumza na wanavikundi vya ushirika vya Kaya Masikini shehia ya Kangani Wilaya ya Mkoani, mara baada ya kukabidhiwa msaada wa shilingi Milioni 1.3 kwa vikundi 13 vya kaya masikini, ikiwa ni ahadi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi kwa Vikundi hivyo.
KATIBU Msaidizi afisa Kitengo CCM Pemba Zulfa Abdalla Said, akizungumza na akinamama wa Vikundi 13 vya Kaya masikini shehia ya Kangani Wilaya ya Mkoani, wakati wakutekeleza ahadi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi.
(Picha na Hanifa Salum - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.