Habari za Punde

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Yakabidhiwa Majengo ya Skuli Fuoni Pangawe ya Msingi na Maandalizi.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dk Idrisa Muslim Hija akikabidhiwa majengo ya skuli ya fuoni pangawe ya Maandalizi na Msingi na Balozi mdogo wa China bwana Xie Xiao Wu, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Skuli hiyo, hafla iliyofanyika katika ofisi ya ubalozi huo mazizini mjini unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idris Muslim Hijja akitiliana saini ya Makabidhiano ya Skuli ya Msingi na Maandalizi ya Fuoni Pangawe na Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China Zanzibar Mhe. Xie Xiao Wu, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Ofisi za Majengo ya Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.