Habari za Punde

Ziara ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Kisiwani Pemba.

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said (kulia) akizungumza na Maafisa Elimu wa Mikoa na Wilaya za Pemba, Waratibu wa Idara za Elimu na Wakuu wa Vitengo mbali mbali vya Idara hizo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya Wizara ya Elimu Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.