Habari za Punde

Hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani

 Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa ZSSF mara baada ya kuwasili katika Hafla ya Utiaji saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
 Baadhi ya wageni Waalikwa waliohudhuria katika Hafla ya Utiaji saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Viongozi wengine wakishuhudia Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
 Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano (kushoto)akitiliana saini na Msaidizi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Group Six International ltd Fang Xiaokai Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
 Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano (kushoto)akibadilishana hati ya  saini na Msaidizi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Group Six International ltd Fang Xiaokai kuhusu Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
 Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano akitoa hotuba baada ya kutiliana  saini na Kampuni ya Group Six International ltd  kuhusu  Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dkt,Suleiman Rashid Mohamed akitoa hotuba katika  hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanizbar.
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akitoa hotuba katika hafla ya Utiaji Saini Mradi wa Ujenzi Jengo la Kisonge lililopo Michenzani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanzibar.kulia ni Mkurugenzi Mwendeshaji ZSSF Sabra Issa Machano na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dkt,Suleiman Rashid Mohamed 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.