Habari za Punde

Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii wa BLW watembelea Mkamandume

 WAJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi, wakipata maelezo juu ya kurudisha asili ya kisiwa cha Wivu kilichomo ndani ya eneo la Kihistoria la Makamandume, kutoka kwa injia wa ujenzi Said Malik kutoka kampuni ya Shamjoo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

NAIBU Waziri Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Chumu Kombo Khamis, akikinga maji yanayotoka katikka kisima cha Wivu baada ya kuanza harakati za kurudishwa uasilia wake kisima hicho.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakipata maelezo ya juu ya urudishaji wa asili ya eneo la Mkamandume Wilaya ya Chake Chake, kutoka kwa Injia Said Malik kutoka kampuni ya Shamjoo(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


MAKAMU mwenyekiti wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mussa Fumu Mussa atoa majumuiya ya ziara yao kwa Wizara ya habari Pemba, huko katika eneo la Mkamandume Wilaya ya Chake Chake Pemba(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.