Habari za Punde

Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Yatembelea Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Simai Moh’d Said (wa kwanza kulia) ambae pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo mara baada ya kukagua miundombinu katika Skuli ya Sekondari ya Moh'd Juma Pindua iliyopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.