Habari za Punde

Jumuiya ya Wazazi Kisiwani Pemba Wafanya Usafi Hospitali ya Chakechake Pemba Kuadhimisha Siku ya Wazazi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Chake Chake Pemba Ndg. Khamis Salum Khamis, akizungumza na vijana wa CCM Wilaya hiyo, madaktari wa hospitali ya ChakeChake, mara baada ya kumaliza kazi ya ufanyaji wa usafi katika hopitali hiyo, ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya siku ya wazazi Kitaifa.
(Picha na Hanifa Salim Pemba)No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.