Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani Yafana Wilaya ya Kati Viwanja vya Mwera.Mkuu wa Wilaya ya Kati Bi.Hamida Mussa akiwa na Viongozi na Watendaji mbali mbali wa Wilaya na Halmashauri ya Wilaya ya Kati pamoja na Wananchi mbali mbali wakiwa katika maadhimisho ya siku ya Afya Duniani ambayo kwa Wilaya ya Kati maadhimisho hayo yamefanyika katika kijiji cha mwera katika hospitali ya Mwera Wilaya ya Kati.pichani ni matukio mbali mbali yaliyo tendeka katika Shughuli hiyo.13/04/2019.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.