Habari za Punde

Zoezi la upimaji wa wa afya lafana Wilaya ya Kati

 Mkuuwa Wilaya ya Kati, Mhe Hamida Mussa Khamis akipewa maelezo wakati alipowasili kuzindua zoezi la upimaji wa afya lililofanyika huko Mwera
 Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya kati waliotumia fursa ya kuitika katika kuhudhuria zoezi la upimaji wa afya wakiendelea kupatiwa huduma

 Baadhi ya wamnanchi waliohudhuria zoezi la upimaji wa afya wakiwasili Mwera kwa ajili ya kupimwa afya zao katika zoezi maalum la upimaji wa afya lililofanyika Mwera hapo jana

 Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya kati wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hawakuwa nyuma wakati wa zoezi la upimaji wa afya lililofanyika Mwera hapo jana
 Mkuu wa Wilaya ya kati , Mhe Hamida Mussa Khamis akipima afaya yake wakati akipimwa Pressure akiongoza zoezi la upimaji wa afya huko Mwera

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.