Habari za Punde

Mchezo wa Fainali Kombe la Muungano Kati ya Pan African na Jangombe Boys Uwanja wa Amaan Ukiwa Bao 1 - 1 Mchezo Ukiendelea.

Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya  Mabingwa Watetezi Timu ya Jangombe Boys Unaofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo zikiwa sare ya bao 1-1
Wachezaji wa Timu ya Jangombe Boys Wakishangilia bao la kusawazisha lililofungwa na. Mshambuliaji Mustafa Vuai. katika Dakika ya 60 ya kipindi cha Pili

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.