Habari za Punde

Mchezo wa Fainali Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Bingwa Watetezi Timu ya Jangombe Boys na Timu ya Pan African Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hya Pan African Imeshinda Mchezo Huo kwa Penenti 4-5. Komba Muungano Kwa Kuifunga Timu ya Jangombe Boys, Katika Mchezo wa Fainali Uliofanyika Uwanja wa Amaan kwa Penenti.4 -5.

Mchezaji wa Timu ya Jangombe Boys akiwa na mpira akijaribu kumpita beki wa Timu ya Pan African wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Muungano Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Pan African imeibuka B ingwa kwa Mwaka huu 2018/2019, baada ya kuwafungwa Mabingwa Watetezi Timu ya Jangombe Boys ilioutoa Ubingwa huo Jijini Dar es Salaam Mwaka jana.Mkuu waWilaya ya Kaskazini A Unguja Ndg.Rajab Ali Rajab akisalimiana na Kocha Mkuu wa Timu ya Pan Afrikan baada ya kumalizika mchezo huo wa Fainali ya Kombe la Muungani iliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.