Habari za Punde

Pan African Mabingwa Komba la Muungano Kwa Kuifunga Timu ya Jangombe Boys, Katika Mchezo wa Fainali Uliofanyika Uwanja wa Amaan kwa Penenti.4 -5.

Mkuu waWilaya ya Kaskazini A Unguja Ndg.Rajab Ali Rajab akimkabidhi Kombe nahodha wa Timu ya Pan Africa Hafidh Jaffar,baada ya kufunga Timu ya Jangombe Boys, kwa mikwaju ya peneti mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.