Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Kati Timu ya KMKM na KVZ Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya KMKM Imeshinda Bao 2 - 0.Waipatia Ubingwa Timu ya KMKM Kwa Mwaka 2018/2019.

Mshambuklioaji wa Timu ya KVZ  akiwapita wachezaji wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar,Timu ya KMKM imeibuka mshindi wa mchezo huo kwa bao 2-0 na kuutowa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa mwaka 2018/2019. 

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya KmKm na KVZ mchezo Uliofanyika katika Uwanja wa Amani Timu ya KMKM imeshinda Mchezo huo bao 2 - 0.
Ikiongozwa Ligi Kwa Point 77, hakuna Timu itakayofikisha na kusubiri kutangazwa Bingwa kwa msimu huu.2018/219.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.